Random Posts

MASIGNCLEAN101

Agriculture, Livestock, Engineering, ICT, Computer Science and other related Sciences Programmes offered by Institutions in 2018/2019

The National Education Council (NACTE) is a tool established by the Law
of Parliament Chapter 129, to oversee and coordinate the provision of education
specialize at college courses, Diploma courses and Bachelors courses for institution which are not universities or universities college.

The responsibilities of the Council are to ensure that training is provided at Colleges
Vocational education meets the criteria and quality needed in the domestic marketplace and
abroad.make sure you have a document reader like pdf reader, wps office, adobe pdf reader or pdf drive inoder to read this pdf file.
if you don't have just find it on google playstore or appstore


click here to download guide book
Image result for downloadShare This :
 1. Tunataka chuo tunaomba mwongozo namba ya k

  ReplyDelete
 2. Una weza kupata mkopo katika vyuo vya serikali endapo una tka kuji unga na kozi flani kwa ngazi ya diploma halafu ume hitimu kidato cha nne?

  ReplyDelete
  Replies
  1. chuo cha maji kuna mikopo ya serikali, ila inabidi uwe uliomba form four kwenda chuo badala ya advance, ndo wale unaona kwenye selection ya advance wao wamepngiwa chuo, hao ndo wanapata mkopo moja kwa moja bila hata kuomba.
   Ila chuo cha maji ubungo wanatoa mikopo tofauti na utaratibu Wa serikali kwa wale ambao hawako sponsored na serikali kwakuomba wenyewe

   Delete
 3. Nahita kuchukua koz ya general agricultural ngazi diploma alafu Nina C ya biology , C y geography ,D ya chemistry ,F yako physicy and mathematical masomo yalio bak n D yote

  ReplyDelete
 4. Habari? Kwa jina kamili ni kama umnavyo liona hapo juu....lengo la ujumbe huu nikutaka msaada hata wa kimawazo ...kiwango changu cha elimu ni cha chini sikufanikiwa hata kumaliza kidato cha nne. UZOEFU. Nimefanya kazi za mazoez kama gym instractor kwa kipindi cha miaka 8 na mazoez kwa wagonjwa kama physiotherapist...katika vituo tofaut.....nia yangu ni kufanya kazi katika hospital kubwa sasa sifaham pakuanzia nimejaribu kutuma maombi lkn bado jibu linakua ni CV.

  ReplyDelete
 5. Ivi ukiwa na III ya point 24 na nahitaji kusoma PCB pia katika combination hizi Nina P=D , C=C na B=D . nitakubaliwa kujiunga na kidato cha tano kama School candidate na si private candidate

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndio unaweza kusoma ila shule nyingi zinahitaji angalau uwe na c mbili kwenye comb so baadhi ya shule za private zitakukataa na upande wa shule za goverment hutopangwa

   Delete
 6. Vipi kuhusu tuliomaliza form six na kupata principal pass mbili Chemistry E biology E pyhsics olevel nilikua na C

  ReplyDelete
 7. Hello guys polen na majukumu ya siku..nilikuwa naomba kujua kuhusu Open University...datails zake coz nataka kujisajili this year. Thank u

  ReplyDelete
  Replies
  1. Out course zake zote zinaolewa kwa mfumo wa e learning

   Delete
 8. Mimi nimeitimu kidato cha nne nimepata division,4 ya 29 kwa civ -D eng -D kisw -D hist -D geog -D b/math -D bios -F. nilikua naitaji kujua kozi gani naweza kusomea kwa ufaulu wangu huo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Pitia post kwenye site zipo course nyingi sana ngazi ya cheti

   Delete
 9. nahitaji kusoma comb ambayo fursa zake nyingi ni kujiajili ni ipi iyo na je HGE na EGM zina fursa hizo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hakuna comb isiyokuwa na fursa ila inategemea wewe unal ushindani

   Delete
 10. Hivi ukiwa na c mbili na D moja yaani; Bios;c Chem;c Math;d Geo;d Kuna combination yoyote hapo?

  ReplyDelete
 11. Matokeo yangu ya Private candidate ni Civics D, geography C,kiswahili D,English C history D.. Napenda sana geography na ninataka kwenda chuo naombeni ushauri nikasomee ishu gan inayoendana na ufaulu wangu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Pitia post zetu kwenye site utapata majibu

   Delete
  2. Jaman matokeo yangu si mazuri kwakweli Nina point 29 Nina D 4 na C lakini D 2 za sayansi C na D zingine ni hati je naweza pata chuo

   Delete
 12. Matokeo yangu si mazuri xana, nina kiswahili b, kingereza c, bios d, chemistry d, civics d, geograph d, history d

  ReplyDelete

Recent Posts

Recent Posts Widget

POPULAR POSTS