-->

Agriculture, Livestock, Engineering, ICT, Computer Science and other related Sciences Programmes offered by Institutions in 2018/2019

The National Education Council (NACTE) is a tool established by the Law
of Parliament Chapter 129, to oversee and coordinate the provision of education
specialize at college courses, Diploma courses and Bachelors courses for institution which are not universities or universities college.

The responsibilities of the Council are to ensure that training is provided at Colleges
Vocational education meets the criteria and quality needed in the domestic marketplace and
abroad.make sure you have a document reader like pdf reader, wps office, adobe pdf reader or pdf drive inoder to read this pdf file.
if you don't have just find it on google playstore or appstore


click here to download guide book
Image result for download

You may like these posts

27 comments

 1. Anonymous
  Best
 2. Denis Benson
  Tunataka chuo tunaomba mwongozo namba ya k
  • Francis Mboya
   Read all site post
 3. juma hoseni
  Una weza kupata mkopo katika vyuo vya serikali endapo una tka kuji unga na kozi flani kwa ngazi ya diploma halafu ume hitimu kidato cha nne?
  • Francis Mboya
   chuo cha maji kuna mikopo ya serikali, ila inabidi uwe uliomba form four kwenda chuo badala ya advance, ndo wale unaona kwenye selection ya advance wao wamepngiwa chuo, hao ndo wanapata mkopo moja kwa moja bila hata kuomba.
   Ila chuo cha maji ubungo wanatoa mikopo tofauti na utaratibu Wa serikali kwa wale ambao hawako sponsored na serikali kwakuomba wenyewe
 4. Shadrack
  Nahita kuchukua koz ya general agricultural ngazi diploma alafu Nina C ya biology , C y geography ,D ya chemistry ,F yako physicy and mathematical masomo yalio bak n D yote
  • Francis Mboya
   Pitia post kwenye site
 5. Aziz Remigius Fayi
  Habari? Kwa jina kamili ni kama umnavyo liona hapo juu....lengo la ujumbe huu nikutaka msaada hata wa kimawazo ...kiwango changu cha elimu ni cha chini sikufanikiwa hata kumaliza kidato cha nne. UZOEFU. Nimefanya kazi za mazoez kama gym instractor kwa kipindi cha miaka 8 na mazoez kwa wagonjwa kama physiotherapist...katika vituo tofaut.....nia yangu ni kufanya kazi katika hospital kubwa sasa sifaham pakuanzia nimejaribu kutuma maombi lkn bado jibu linakua ni CV.
  • Francis Mboya
   Huwezi kupata bila kuwa na chet
 6. Issah kingumi
  Ivi ukiwa na III ya point 24 na nahitaji kusoma PCB pia katika combination hizi Nina P=D , C=C na B=D . nitakubaliwa kujiunga na kidato cha tano kama School candidate na si private candidate
  • Francis Mboya
   Ndio unaweza kusoma ila shule nyingi zinahitaji angalau uwe na c mbili kwenye comb so baadhi ya shule za private zitakukataa na upande wa shule za goverment hutopangwa
 7. Owen mathias
  Vipi kuhusu tuliomaliza form six na kupata principal pass mbili Chemistry E biology E pyhsics olevel nilikua na C
  • Francis Mboya
   Tafuta course za Diploma usome
 8. Jackson bob kisanga
  Hello guys polen na majukumu ya siku..nilikuwa naomba kujua kuhusu Open University...datails zake coz nataka kujisajili this year. Thank u
  • Francis Mboya
   Out course zake zote zinaolewa kwa mfumo wa e learning
 9. Victor Theophil
  Mimi nimeitimu kidato cha nne nimepata division,4 ya 29 kwa civ -D eng -D kisw -D hist -D geog -D b/math -D bios -F. nilikua naitaji kujua kozi gani naweza kusomea kwa ufaulu wangu huo
  • Francis Mboya
   Pitia post kwenye site zipo course nyingi sana ngazi ya cheti
 10. Eliphaz
  nahitaji kusoma comb ambayo fursa zake nyingi ni kujiajili ni ipi iyo na je HGE na EGM zina fursa hizo
  • Francis Mboya
   Hakuna comb isiyokuwa na fursa ila inategemea wewe unal ushindani

 11. Juma
  Hivi ukiwa na c mbili na D moja yaani; Bios;c Chem;c Math;d Geo;d Kuna combination yoyote hapo?
  • Francis Mboya
   Hauja balance comb
 12. geff
  Matokeo yangu ya Private candidate ni Civics D, geography C,kiswahili D,English C history D.. Napenda sana geography na ninataka kwenda chuo naombeni ushauri nikasomee ishu gan inayoendana na ufaulu wangu
  • Francis Mboya
   Pitia post zetu kwenye site utapata majibu
  • Unknown
   Jaman matokeo yangu si mazuri kwakweli Nina point 29 Nina D 4 na C lakini D 2 za sayansi C na D zingine ni hati je naweza pata chuo
  • Francis Mboya
   Utapata chuo
 13. Unknown
  Matokeo yangu si mazuri xana, nina kiswahili b, kingereza c, bios d, chemistry d, civics d, geograph d, history d
  • Francis Mboya
   Utapata chuo
 1. To insert a code use <i rel="pre">code_here</i>
 2. To insert a quote use <b rel="quote">your_qoute</b>
 3. To insert a picture use <i rel="image">url_image_here</i>